Nkurukumbi
Senior Member
- Sep 6, 2013
- 196
- 78
Hukupendezwa na mm?
Mshukuru Mungu kwa kuwa wewe ni mzuri@HAMY
Tatizo nilikukataa ndo maana unapondea, utakaa sanaaaa, unalo wewe
Tatizo nilikukataa ndo maana unapondea, utakaa sanaaaa, unalo wewe
Jipe moyo dada yangu. Ila hata siku moja siwezi kuja kuonana na mademu wa JF kwa kuwa rafiki zangu tayari wamenitahadharisha na wanawake wa humu.
Mimi niko humu JF muda mrefu sana, na nina marafiki wengi tu, hizi I'd zenu fake mtawadanganya hao wageni wasio wajua. Ila picha zako nimeziona, maana uliwahi kukutana na jamaa yangu. My God, sikufichi, wewe ni mbovu.
Kwanza ni bonge, sasa huoni hadi hapo tayari ni tatizo?
Hukujiumba ndugu yangu. Kila mtu anahaki ya kupenda na kupendwa regardless yupo vipi. Kama wewe una mvuto shukuru Mungu tu maana umepewa bure wala huna sababu ya kudharau wenzio.
hamy d hana tofauti na kichaa, sidhani mtu timamu anaweza msema mwenzake vibaya kiasi hicho, msameheni hajui alitendalo,