Newtongift
Member
- Feb 21, 2014
- 93
- 5
Hebu na wewe weka cv yako kwanza ili tukutambue na picha uitupie hapa
Nmechoka kukaa peke yangu natafuta mrembo mrefu wastani elimu chuo kikuu umri 18-26 mwenye upendo. Kama upo tayar npm
Utamuweza unayemuhitaji au umeandika kwa sababu ni haki yako?:flame:
Kumbe shida ni kukaa mwenyewe, si utafute hausi gelo....
Nmechoka kukaa peke yangu natafuta mrembo mrefu wastani elimu chuo kikuu umri 18-26 mwenye upendo. Kama upo tayar npm
hahahahahaha marioo
ndo habareee ya mjini
Swali zuri sana.Utamuweza unayemuhitaji au umeandika kwa sababu ni haki yako?:flame: