Na swedeni kuna ma domo zege
Na swedeni kuna ma domo zege
Haya, tumeshajua kuwa upo Sweden...
ndo umekuja na ID mpya ..
ndo umekuja na ID mpya…..
Kwa maana hiyo wote waliomo humu ni madogo zetu ama? 😉
Hiyo inaitwa nitoke vipi...Dizaini anataka tujue kuwa yupo Sweden..
Jibu swali usipaniki bro.
Uwe tu na lugha nzuri, kama unaona post haikuhusu achana nayo tu, endelea kwenye post nyengine kwa roho safi bila hiyana, huna haja ya ku-comment kila posts.....
Uwe tu na lugha nzuri, kama unaona post haikuhusu achana nayo tu, endelea kwenye post nyengine kwa roho safi bila hiyana, huna haja ya ku-comment kila posts.....
unazeeka vibaya aisee, weka picha kama upo kweli swedenhabari,unazeeka vibaya ebu weka picha yako inayo onesha upo hapo sweden
niko sweden ; na ningependa kupata msichana mstaarabu, mwenye kujitambua na mwenye empathy na maisha, awe hapa sweden ama karibu tu na sweden as long as tukiridhiana nitashukuru na pia awe serious na tayari kuonana ama kuzungumza.
Dini si tatizo kwangu, awe mkristo, awe muislam kwangu haina shida!
Salaam,
hajui kuku wa kiswahili huyu ni domo zege anatumia gia za kizamani siku izi watu hawashobokei ulayami nipo unyanyembee kwi kwiiii
Hapa jamii forum naona pamevamiwa. Kama si vitoto vidogo ambanvo vilikuwa face book basi ni watu wazima wasio na upeo. Mtu kasema mm nipo sweeden. Eti oh tumejua huko sweeden. Oh unajifanya huko sweeden.what is sweeden? Watu wanakwenda kila siku. Ulaya watu wanakwenda kila asub.Na. mtandao unafika huko
.sasa ww kwasababu huna uwezo wa kufika ulaya basi sisi wa ulaya tusitafute wachumba. Mm mods naona huu ni uhuni au kukosa weledi. Furthermore hii ni part ambayo specifically ni ya kutafuta wachumba na marafiki. Kama thread umeona haikuhusu achana nayo. Ukiwa kila thread unapinga tunapoteza umuhimu na objective za forum. Pia hata ww unapoteza resources zako na muda. Kwn hamna kazi zenu? Mods naomba sms yangu uifuatilie na utusaidie kwn waging wamezid.
Mi nipo Unyanyembee kwi kwiiii