stellahthatcher
Senior Member
- Oct 14, 2015
- 168
- 165
Hauko serious.Mama, real I'm in need. Naomba sana ni pm maana najaribu kuju pm inagoma. Do so plz
Asantekila la kheri mpendwa.... naona vigezo vimentupa nje
vipi una chura lakini?Habari za leo JF,
Naitwa Stella najitokeza mbele yenu leo kutafuta mchumba na baadae Mungu akipenda basi awe mume wangu wa maisha.
Kuhusu Mimi na Ninayemhitaji
Wanaume wenye nia ya dhati wanakaribishwa.
- Ninafanya kazi kwenye moja ya media houses hapa Tanzania
- I am in my late 30's
- Si mweupe kivile wala si mweusi niko hapo in between
- Nahitaji mwanaume mwenye dini yoyote sibagui
- Awe na umri kuanzia kama huo wa kwangu na kuendelea
- Situmii kilevi cha aina yoyote
- Mengine tutaelezana PM
kwann uje kutafuta humu jf,, inamana 1)hutongozwi 2) unapenda mtu wa mtandaoni 3)unamajaribu ?Habari za leo JF,
Naitwa Stella najitokeza mbele yenu leo kutafuta mchumba na baadae Mungu akipenda basi awe mume wangu wa maisha.
Kuhusu Mimi na Ninayemhitaji
Wanaume wenye nia ya dhati wanakaribishwa.
- Ninafanya kazi kwenye moja ya media houses hapa Tanzania
- I am in my late 30's
- Si mweupe kivile wala si mweusi niko hapo in between
- Nahitaji mwanaume mwenye dini yoyote sibagui
- Awe na umri kuanzia kama huo wa kwangu na kuendelea
- Situmii kilevi cha aina yoyote
- Mengine tutaelezana PM
Kama hutaki acha fursa watu waitumie..[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]kwani
kwann uje kutafuta humu jf,, inamana 1)hutongozwi 2) unapenda mtu wa mtandaoni 3)unamajaribu ?
hamnaa fursaa hapo,hvi bro kwa akili ya kawaida,kuna msichana asiyetongozwa?Kama hutaki acha fursa watu waitumie..[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
You never know! Labda wanaomfata sio type yake..! Who cares.?! [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]hamnaa fursaa hapo,hvi bro kwa akili ya kawaida,kuna msichana asiyetongozwa?
Subiri waje watakwwmbia bado ma single hawajawah kua kweny mahusiano ya kimapenz yoyot na tayar washa kabidhiwa masters za relationship[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Habari za leo JF,
Naitwa Stella najitokeza mbele yenu leo kutafuta mchumba na baadae Mungu akipenda basi awe mume wangu wa maisha.
Kuhusu Mimi na Ninayemhitaji
Wanaume wenye nia ya dhati wanakaribishwa.
- Ninafanya kazi kwenye moja ya media houses hapa Tanzania
- I am in my late 30's
- Si mweupe kivile wala si mweusi niko hapo in between
- Nahitaji mwanaume mwenye dini yoyote sibagui
- Awe na umri kuanzia kama huo wa kwangu na kuendelea
- Situmii kilevi cha aina yoyote
- Mengine tutaelezana PM
Yani ww unasubiri deadline ndo utume maombi!!!Mwisho wa kutuma maombi ni lini?!
Eeeee! Ili niedit cv bila presha!Yani ww unasubiri deadline ndo utume maombi!!!