Pole sana Preta. hope hujaumia sana... Nikuulize dia: Ulikua umevaa?mi sifa zote ninazzo mpaka nimepitiliza.....bahati mbaya nimeanguka bafuni.....
Pole sana Preta. hope hujaumia sana... Nikuulize dia: Ulikua umevaa?
naamini wapo wengi sana
.
Pole sana aisee... nitakuja nikudekeshe kidogo, usitoke kitandani, nakutengenezea uji. lolwacha tu....hapo ndo tatizo lilipoanzia.....
Pole sana aisee... nitakuja nikudekeshe kidogo, usitoke kitandani, nakutengenezea uji. lol
Umeona mchumba huyu, unamtaka? Ni mwarabu na anahishi ulaya, the perfect dream. :lol:
Hivi love connect imekua kama duka la kununua mapenzi? unachagua bidhaa kwenye shelve? vigezo vyako vyote vimeelekea mwili wa mwanamke, alafu kidogo vya utiivu na unyenyekevu, awe tayari kusilim etc. Hujui kua na yeye ana personality? mbona hujasema vya masomo, hujasema vya interest zake? au sio muhimu katika mahusiano?
Alafu wewe mwenyewe mbona hujasema ukoje?
Unajua kwasababu technolojia imekua sana siku hizi, unaweza kwenda China wakakutengenezea mdoli mzuuri mwenye kila kitu unachokitakaMimi ni kijana mwenzenu naitwa junaid, ni kijana mwenye asili ya kiarabu na ninaishi Uk. natafuta mchumba mwenye sifa hizi, hizi sifa ni muhimu sana maana mwanamke wa ndoto yangu nataka awe hivi :
1 ) mrefu
2)Rangi yoyote
3)kabila lolote
4)Dini awe mwislamu au kama ni mkiristo basi awe tayari kuslimu
5)Umbo - Hapa kwenye umbo ni muhimu sana, maana nataka awe juu mwembamba na mwenye maziwa madogo kisha chini awe na mahipsi hasaaa pia na awe na ma_ta_ko, yaani umbo number 8. Wallah nikimpata huyu nitafurahi sana, naamini wapo wengi sana
6)Awe mpole mvumilivu na mwenye heshima zake na aliyetulia.
Nina mpango wa kuja haraka pale atakapojitokeza kuja kuonana na kupanga maisha, kuhusu pa kuishi atachagua yeye kama ulaya ama africa.
Baada ya mawasiliano ya mwanzo kitachofuata ni picha yake na kama nitaridhika nae basi nitampatia number zangu za simu na picha na pia kuchat nae kwenye skype.
Natumai atakuja siku moja.
mi sifa zote ninazzo mpaka nimepitiliza.....bahati mbaya nimeanguka bafuni.....