King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,866 Reaction score 24,984 Oct 21, 2012 #41 Weeeh, kuna maswali hayaulizwagi usiku atii. Unataka Paw anipige ban, hebu nipishe mie! Duduwasha said: oi haya we msubiri ila naona wadau wengi humu washataja jinsia yake.... kwani na wewe hauna tatizo na Usalama Jabir? Click to expand...
Weeeh, kuna maswali hayaulizwagi usiku atii. Unataka Paw anipige ban, hebu nipishe mie! Duduwasha said: oi haya we msubiri ila naona wadau wengi humu washataja jinsia yake.... kwani na wewe hauna tatizo na Usalama Jabir? Click to expand...
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,232 Oct 21, 2012 #42 itabidi tu, siku ya tatu hajarudi home. Nimechoka kuvumilia, ngoja nifuate ushauri wa Natalia, hakuna kuvumilia ni kuchop money tu. King'asti said: Hehehe, hiyo ya kulambalamba inabidi kutulia kama unanyolewa, ulivyo mcharu wewe sijui kama hutang'atwa! Click to expand...
itabidi tu, siku ya tatu hajarudi home. Nimechoka kuvumilia, ngoja nifuate ushauri wa Natalia, hakuna kuvumilia ni kuchop money tu. King'asti said: Hehehe, hiyo ya kulambalamba inabidi kutulia kama unanyolewa, ulivyo mcharu wewe sijui kama hutang'atwa! Click to expand...
EJM_ JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 3,836 Reaction score 2,119 Oct 21, 2012 #43 Kongosho said: nitakufuata PM unipe mbinu mbadala. Labda nimtafute mganga wa kulamba nanii maana kazi ipo. Click to expand... Mi naweza hiyo kazi we njoo tu nkumalizie kazi yako Kongosho, sharti ni hilo moja tu lazima nitumie ulimi kukuwekea" ka muti" Duh watu wamejilipua humu....... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Kongosho said: nitakufuata PM unipe mbinu mbadala. Labda nimtafute mganga wa kulamba nanii maana kazi ipo. Click to expand... Mi naweza hiyo kazi we njoo tu nkumalizie kazi yako Kongosho, sharti ni hilo moja tu lazima nitumie ulimi kukuwekea" ka muti" Duh watu wamejilipua humu.......
King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,866 Reaction score 24,984 Oct 21, 2012 #44 hehehe, ukipata pin code ya hiyo debit card unistue nikusindikize. nimeona two big shops zina sale ya kufa mtu, najua utanitoa walau na tujeans tuwili na CL moja. Watatutambua! Dedication yake: Chop my mouney coz i dont care!:gossip: Kongosho said: itabidi tu, siku ya tatu hajarudi home. Nimechoka kuvumilia, ngoja nifuate ushauri wa Natalia, hakuna kuvumilia ni kuchop money tu. Click to expand...
hehehe, ukipata pin code ya hiyo debit card unistue nikusindikize. nimeona two big shops zina sale ya kufa mtu, najua utanitoa walau na tujeans tuwili na CL moja. Watatutambua! Dedication yake: Chop my mouney coz i dont care!:gossip: Kongosho said: itabidi tu, siku ya tatu hajarudi home. Nimechoka kuvumilia, ngoja nifuate ushauri wa Natalia, hakuna kuvumilia ni kuchop money tu. Click to expand...