Denjo JF-Expert Member Joined Jul 23, 2014 Posts 359 Reaction score 118 Oct 14, 2014 #1 Warembo fursa hii hapa natafuta mchumba umri usizidi miaka 24 uwe mkwel ,mrembo,mchapakaz ,elimu,maji ya kunde kabila na prefer mchaga *sifa zangu elimu yangu chuo kikuu,mfanya biasharaa mdogoo dogo,mengne utayajuaa tuk belong together ni pm sasa
Warembo fursa hii hapa natafuta mchumba umri usizidi miaka 24 uwe mkwel ,mrembo,mchapakaz ,elimu,maji ya kunde kabila na prefer mchaga *sifa zangu elimu yangu chuo kikuu,mfanya biasharaa mdogoo dogo,mengne utayajuaa tuk belong together ni pm sasa
Shy land JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 6,245 Reaction score 2,856 Oct 14, 2014 #2 nyie munaotafuta wachumba. wachumba wanapatikana hapa kama kwa bahati baya ukashidwa kuwapata hapo,lazima uwapate hapa, ukikosa na hapa jua wewe umelaniwa
nyie munaotafuta wachumba. wachumba wanapatikana hapa kama kwa bahati baya ukashidwa kuwapata hapo,lazima uwapate hapa, ukikosa na hapa jua wewe umelaniwa
S Sumu JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 7,030 Reaction score 6,277 Oct 14, 2014 #3 Ingekuwa unataka "mlupo" ningekushauri utembelee Badoo.
innocentmollel JF-Expert Member Joined Sep 11, 2014 Posts 1,702 Reaction score 752 Oct 14, 2014 #4 Ngojaa waje wachumba wenyewe maana inaonyesheaa umedhamiria mkuu
Denjo JF-Expert Member Joined Jul 23, 2014 Posts 359 Reaction score 118 Oct 14, 2014 Thread starter #5 Shy land said: nyie munaotafuta wachumba. wachumba wanapatikana hapa kama kwa bahati baya ukashidwa kuwapata hapo,lazima uwapate hapa, ukikosa na hapa jua wewe umelaniwa Click to expand... Hahaha kaka hadiii Google kwel nikishindwaaa hapo kweliii niwe paroko
Shy land said: nyie munaotafuta wachumba. wachumba wanapatikana hapa kama kwa bahati baya ukashidwa kuwapata hapo,lazima uwapate hapa, ukikosa na hapa jua wewe umelaniwa Click to expand... Hahaha kaka hadiii Google kwel nikishindwaaa hapo kweliii niwe paroko
Denjo JF-Expert Member Joined Jul 23, 2014 Posts 359 Reaction score 118 Oct 14, 2014 Thread starter #6 Sumu said: Ingekuwa unataka "mlupo" ningekushauri badoo ntapataa dungaembaa maaana kule wauzaj wanaonekana ndikooo sokon kwao Click to expand...
Sumu said: Ingekuwa unataka "mlupo" ningekushauri badoo ntapataa dungaembaa maaana kule wauzaj wanaonekana ndikooo sokon kwao Click to expand...