D Danizle Member Joined Apr 14, 2016 Posts 8 Reaction score 1 Apr 25, 2016 #1 Natafuta mchumba ambaye atakuwa my wife,mimi nina miaka 30 nipo Kinondoni.sifa zake awe mcha mungu,asiwe mvivu pia awe tayari kupima HIV na magonjwa mengine.aliye tayari ani pm namba yake tuwasiliane.
Natafuta mchumba ambaye atakuwa my wife,mimi nina miaka 30 nipo Kinondoni.sifa zake awe mcha mungu,asiwe mvivu pia awe tayari kupima HIV na magonjwa mengine.aliye tayari ani pm namba yake tuwasiliane.