ππMkuu unatafuta mke au Askari na Daktari? Unataka kufungua duka la dawa na kituo cha ulinzi au? π
Hivi nyie msiojali kuhusu dini, uwa ni hamuamini ktk dini zenu au? Sasa we mkiristo, akija Muslim. Hiyo ndoa mtafungia bomani au? Hainogi sbb nyie wakatoliki mna visheria lukuki
Na kwanza tuambie, ilikuwaje ukafika 45 ngoma bila bila? Wanaume serious wanaoa wakiwa 30s. We kilitokea nini wakati huo?
πππ
Mkuu unatafuta mke au Askari na Daktari? Unataka kufungua duka la dawa na kituo cha ulinzi au? π
Hivi nyie msiojali kuhusu dini, uwa ni hamuamini ktk dini zenu au? Sasa we mkiristo, akija Muslim. Hiyo ndoa mtafungia bomani au? Hainogi sbb nyie wakatoliki mna visheria lukuki
Na kwanza tuambie, ilikuwaje ukafika 45 ngoma bila bila? Wanaume serious wanaoa wakiwa 30s. We kilitokea nini wakati huo?
πππ
Anatafuta Mzee mwenzie wamalizie maisha jaman kwan Kuna ubayaMkuu unatafuta mke au Askari na Daktari? Unataka kufungua duka la dawa na kituo cha ulinzi au? π
Hivi nyie msiojali kuhusu dini, uwa ni hamuamini ktk dini zenu au? Sasa we mkiristo, akija Muslim. Hiyo ndoa mtafungia bomani au? Hainogi sbb nyie wakatoliki mna visheria lukuki
Na kwanza tuambie, ilikuwaje ukafika 45 ngoma bila bila? Wanaume serious wanaoa wakiwa 30s. We kilitokea nini wakati huo?
πππ
Uzito umezingatiwa π€£π€£π€£Wanajamvi, wasalaam!
Kama mada inavyojieleza, nahitaji mwanamke seriously tuingie katika mahusiano. Huyo mwanamke LAZIMA awe:
(A)
-Askari polisi, au Uhamiaji,
-Askari JWTz,
-Daktari wa binadamu, kitengo chochote.
Sifa zangu:
-Mwanaume umri 45 miaka
-Mkristu Mkatoliki
-Urefu 175 cm
-Uzito 73kg
-Rangi maji ya kunde
-Elimu chuo kikuu
Sifa za ninaemtafuta:
-Awe na umri usiopungua miaka 33.
-Awe mkristu/muislamu.
-Elimu isiopungua form 4 lkn awe na vigezo (A) hapo juu.
-Awe mTanzania, mrundi, mnyarwanda, mkongo, msomali au mMalawi.
-Kama ana mtoto, basi asizidi 1 wa umri mdogo.
Natanguliza shukrani zangu kwa JF, kwa kutuunganisha. Nimeshuhudia wengi wakijipatia wapenzi, wenzi na marafiki humu. Lakini pia nisiwasahau wale waliopo tu kwa ajili ya ku comment, kukosoa, na kukera kwa kuwa kwenye msafara wa mamba....ila kwa wale wanaolitumia jukwaa hili vizuri, wananufaika. Kwenu wenye sifa hizo, tafadhali. Naamini inawahusu hao ladies pekee. Ukipungukiwa na sifa moja, na unatamani kuingia kwangu, tafadhali, DM. Usi 'comment!'
ππHatari sanaUzito umezingatiwa π€£π€£π€£
Usijali maadam sio wewe. Nataka kufungua hospitali na kampuni ya ulinzi[emoji28]Mkuu unatafuta mke au Askari na Daktari? Unataka kufungua duka la dawa na kituo cha ulinzi au? [emoji23]
Hivi nyie msiojali kuhusu dini, uwa ni hamuamini ktk dini zenu au? Sasa we mkiristo, akija Muslim. Hiyo ndoa mtafungia bomani au? Hainogi sbb nyie wakatoliki mna visheria lukuki
Na kwanza tuambie, ilikuwaje ukafika 45 ngoma bila bila? Wanaume serious wanaoa wakiwa 30s. We kilitokea nini wakati huo?
[emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo naona askari aliye pinda .huyo ni majeshi kuona sasa jifanye unajikuna[emoji3][emoji3]
Unataka KULELEWA LIPIA TANGAZOWanajamvi, wasalaam!
Kama mada inavyojieleza, nahitaji mwanamke seriously tuingie katika mahusiano. Huyo mwanamke LAZIMA awe:
(A)
-Askari polisi, au Uhamiaji,
-Askari JWTz,
-Daktari wa binadamu, kitengo chochote.
Sifa zangu:
-Mwanaume umri 45 miaka
-Mkristu Mkatoliki
-Urefu 175 cm
-Uzito 73kg
-Rangi maji ya kunde
-Elimu chuo kikuu
Sifa za ninaemtafuta:
-Awe na umri usiopungua miaka 33.
-Awe mkristu/muislamu.
-Elimu isiopungua form 4 lkn awe na vigezo (A) hapo juu.
-Awe mTanzania, mrundi, mnyarwanda, mkongo, msomali au mMalawi.
-Kama ana mtoto, basi asizidi 1 wa umri mdogo.
Natanguliza shukrani zangu kwa JF, kwa kutuunganisha. Nimeshuhudia wengi wakijipatia wapenzi, wenzi na marafiki humu. Lakini pia nisiwasahau wale waliopo tu kwa ajili ya ku comment, kukosoa, na kukera kwa kuwa kwenye msafara wa mamba....ila kwa wale wanaolitumia jukwaa hili vizuri, wananufaika. Kwenu wenye sifa hizo, tafadhali. Naamini inawahusu hao ladies pekee. Ukipungukiwa na sifa moja, na unatamani kuingia kwangu, tafadhali, DM. Usi 'comment!'
ππHuyo naona askari aliye pinda .huyo ni majeshi kuona sasa jifanye unajikuna
Mwanaume gani unajiita Gee π π π maza fantaaUnakuwaga unajibu kila comment, hata zisizokuhusu, hasa negatively...sio lazima u comment jamani
[emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu unatafuta mke au Askari na Daktari? Unataka kufungua duka la dawa na kituo cha ulinzi au? [emoji23]
Hivi nyie msiojali kuhusu dini, uwa ni hamuamini ktk dini zenu au? Sasa we mkiristo, akija Muslim. Hiyo ndoa mtafungia bomani au? Hainogi sbb nyie wakatoliki mna visheria lukuki
Na kwanza tuambie, ilikuwaje ukafika 45 ngoma bila bila? Wanaume serious wanaoa wakiwa 30s. We kilitokea nini wakati huo?
[emoji23][emoji23][emoji23]
Kama alifiwa na mkewe je? Halafu iman kutofautiana hakuwezi kufanya watu wasipendane au kuishi pamoja.Mkuu unatafuta mke au Askari na Daktari? Unataka kufungua duka la dawa na kituo cha ulinzi au? π