Ungejipanga vizuri kwenye hitaji lako hata MUNGU angekupa wepesi..umekurupuka mno
Hujidadafui vya kutosha..Mara awe mrefu kama nin sasa msitimu au jini?
Afanya nin?
Msitetemeke mnapokuwa na hitaji zito na umakini kama lako..any way acha walengwa waje
ukifikiri unaitaji mke lazima uwe kichwa cha familia umtunza mkeo kama una kazi nani ata mtunza? lakini pia kama unataka haki sawa pia sawa tu mi ntakutunza ila usije lalamika