Natafuta mchumba/ mume wa ndoa

sawa dada kama hjapata na0mba tuwasiliane dada..ili tu0ngee zaidi..sm yangu ni 0784567432/0753082524
 
dada nime0na t0pic yak0 lakini pia hata mimi natafuta mke..kama hutajali tuwasiliane kwa simu 0753082524
 
Nakutakia Mema Kumpata Mumeo...lakini Dada Kipato Ni Suala La Ziada Tu Kwani Kwani Kama Mmeo Atakuwa Na Kipato Kikishuka Ndo Mnaachana? N.B Karibuni wana JF kwenye party yakumtambulisha mchumba wangu niliyempata humuhumu(Maeneo ya areaD Dom)
 
party inafanyika wapi mkuu! Ningependa kuja kumjua shem.
 
ok, mie niko seriuos, labda wewe unatania, na kama uko serious naomba tuonane. ili tuwe ze kujuana vizuri.
 
i hope utampata tuu aliye wako
 
Uliza wenzako kwanza,walijitokeza kama ww wakakutana na chinga boys kudadadeki mpaka leo sijuwi wamèfia wapi utagongwa na mume hupati hata ukajifanya nn chezea w'me ww
 
Ningekutafuta mimi ila kipato changu sasa mh! nahisi hakitoshi kuishi maisha bora.......ila nakutakia mafanikio mema
 
wewe unakipato gani hadi unataka na mwenzio awe na kipato cha juu??????????

unafanya kazi?????unabiashara au kitega uchumi chochote??????

mama siku hizi mambo ni cost sharing u've to know that.

Hilo neno mkuu maana wadada wengine huwa wanaweka vigezo kibao kama awe na kazi nzuri wakati yeye yupo hoi, anataka akute kitu ready made
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…