Natafuta mchumba baadae mume

vp mtoto ana umri gani?isije ikawa ulipigwa mashine ikiwa mdogo sana
 




wizi tu......

kweli atakuwa huyu au atakuwa pacha wake............ ila hii nahisi ni njia mpya ya kutafuta wateja.
 
Njoo kwangu,mm umri no miaka 33,mkristo(morovian) elimu ni Irrigation&water resources Engineer ,ni pm kwa namba 0717075102
 
Uliye zaa naye anasemaje?
 
hebu fafanua na mambo mengine ya muhimu,mfano una mzigo mkubwa au wa wastani au fkati.Je una mguu au hauna .n.k.ww unakuwa juu juu tu.Xome again bana
 
kuna rafiki yangu ni Dr.yuko Uswiss anatafuta mke aliye na vigezo km vyako uko tayari tupia no yako basi nikuunganishe nae.
 
Hili tangazo ni kwahisani ya watu wa Marekanii. tabu ya kuzaa kabra ya wakati. Umekosea sana wewe si msichana tena, wewe ni mwanamke

Kuna watu duniani isingekuwa vibaya kama wangezaliwa vyura.... Wakapige kelele mtoni
 
Email Chugaraa.tz@gmail.com
 
ufupi weakness kwa kina dada
labda ufupi upi unao zungumzia? Below 160cm?
 
Baba mtoto kala kona? Ipi sababu? tuanzie hapo kwanza
 
wizi tu......

kweli atakuwa huyu au atakuwa pacha wake............ ila hii nahisi ni njia mpya ya kutafuta wateja.

Inawezekana akawa ni yule yule na akawa sio mwizi....

Sio mbaya kutafuta kwa ID mbili tofauti....
 

Kama upo seriouz tuwasiliane
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…