Kuwa na muenzi aliye Lawyer inahitaji Mungu zaidi ndani yake maana kazi hii ya kuwa Lawyer inaweza kukupeleka hell kesho . Mungu awaongoze Lawyers wote na kuwajaza Hekima zake haswa woga wa KiMungu ndani yao , maana acha tuu. Nakutakia kila la kheri kwenye utafutaji wako mpendwa natumai utapata mke muombaji zaidi yako ili akuombee sana katika kusimama na Mungu kwenye kazi yako . Maana hii kazi asikudanganye mtu ina changamoto zake nyingi sana kuliko Kazi nyingine yoyote ile haswa kwenye swala la vishawishi