Natafuta Mchoraji wa Graphs kama vile histograms, pie charts, bar graphs

Natafuta Mchoraji wa Graphs kama vile histograms, pie charts, bar graphs

Joined
Sep 6, 2013
Posts
15
Reaction score
1
Graphs kama Histogram, Pie Chart n.k michoro iko kumi na mbili na unaruhusiwa kutumia program yeyote ambayo utakuwa unataka kuitumia


kama zile za kwe ye B plans


Bofya hapa uone aina hizo za graphs

http://www.bplans.com/art_film_theater_business_plan/executive_summary_fc.php


http://www.bplans.com/art_film_theater_business_plan/financial_plan_fc.php


kama waona waweza kufanya kazi hii wasiliana na mie hapa na mie nitawasiliana na wewe haraka iwezekanavyo





Lete nikuchoree for free nipe data tu
 
Hiyo kazi inafanyika bila hela mdau.
Rusha data utumiwe ma graph hayo.
KAAAZI NI KWAAAKOOOOO
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom