Natafuta mchepuko (mpenzi wa pembeni)

ndugu yako

Senior Member
Joined
Mar 30, 2013
Posts
193
Reaction score
97
jaman hii post nimeshindwa kuidelete ila nmeamua kuondoa content!
 
Baada ya kumpata nakukaribisha katika ofisi yetu uweke oda kabisa ya mchimba kaburi...

Bei zetu ni nafuu sana, karibu.
 

si umuoe huyo mpenzi wako wa Tarime ili uwe nae karibu!...... michepuko haifai ndugu utakufa siku si zako
 
nina watu maalumu wa maobolezo wanalia kwa kila sauti na kuonyesha machungu ya khali ya juu ....

wah mapema cos karibia kitabu kinaja
 
O714-112454-KAZI KWAKO...........

 
Usisahau kuweka booking ya mochwari aisee maana siku hizi mko wengi kweli.
 
are you sure hujali umbo, sura wala umri?!!!!
u must be be totally frustrated na kwa uzoefu wako wa punyeo huwezi kumshughulikia mwanamke kama atakavyotaka
anyways, bora utumie 20,000 ukanunue pale Africasana
 
C uende Kona baa ujipatie jishindie ndoto yako wako wengi wastaarabu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…