Wana - JF,
Natafuta mchapaji wa mifuko ya mikate atakaye kubali kupokea order ndogo kwa wiki.
Wachapaji wengi wanataka order kubwa sana ndio wafanye kazi.
Mimi uwezo wangu ni mdogo, hivyo natafuta mchapaji ambaye atakubali order ndogo ya mifuko elfu mbili kwa wiki.
Natanguliza shukrani.