Natafuta Mbwa

DMussa

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2007
Posts
1,310
Reaction score
302
Habari wana JF,

Natafuta mbwa wawili kwa ajili ya ulinzi, wawe na umri kati ya miezi 3 - 5.
Breed: Pure German shepherd au cross breed ya German Shepherd na Labrador Retiever. Pia wasiwe product ya in-breeding (one family).

Kama unao please niPM, napatikana Dar es salaam.

Ahsanteni!
 
wanapatikana kinondoni moroko kabla haujafika round about ukitokea mwenge
 
Kuna jamaa humu JF alikuwa anauza $2000


Swissme
 
Kuna jamaa humu JF alikuwa anauza $2000


Swissme

Huyo atakuwa full grown na aliyepewa mafunzo kabisa. Mimi nataka puppy ili niwafunze ninavyotaka mwenyewe.
 
Kushoto baada ya AAR hospital na kabla ya show room

Wale vijana wa pale wanauza tu mbwa ilimradi ni mbwa, mimi nataka mbwa mwenye history sio wa kuokota mtaani. Ila nashukuru kwa tip.
 
mijibwa koko kibao tandale nenda kamata moja lianze kulinda..hwana gharama kabisa..wanakula hata mavi jalalani na hawahitaji kutibiwa mara kwa mara kama mbwa wenu wa masaki
 
dola 2000 mbwa? kweli watu mnapesa... njoo home nikupe mbwa buku5 tu na ni wakali.

Ahsante mkuu,
Ila nimesema aina ya mbwa ninaotaka. Wakali sana pia sio wazuri maana wanaweza kufanya majanga wakanipa hasara nyumbani. Ubaya pia mbwa wetu hawa koko wengi hawafundishiki kirahisi.
 
Wale vijana wa pale wanauza tu mbwa ilimradi ni mbwa, mimi nataka mbwa mwenye history sio wa kuokota mtaani. Ila nashukuru kwa tip.

wewe hutaki mbwa..kama vipi zaa mbwa wako mwenyewe ..kuna mbwa hazururi ?au unataka mijibwa ya kizungu kutwa inatoka mate tu
 
wewe hutaki mbwa..kama vipi zaa mbwa wako mwenyewe ..kuna mbwa hazururi ?au unataka mijibwa ya kizungu kutwa inatoka mate tu

Tuheshimiane mkuu! ila kama wewe una mayai kama ya mbwa ntakuja na mbwa dume akupige mimba uzae.

Nimeandika breed ya mbwa ninaotaka kwa hiyo kama hauna kitu cha maana cha kucoment pia unaweza kukaa kimya ili wenye kunielewa wajibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…