Natafuta mbia wa biashara

Masalu Jacob

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2017
Posts
1,436
Reaction score
1,627
Kwa mtu yeyote mwenye uwezo wa kifedha na yupo teyari kuwekeza katika sekta ya afya naomba anipm tuzungumze zaidi.
Asanteni na kazi njema.
 
Haujafafanua... biashara gani? upo wapi? mtaji kiasi gani? wewe ubia wako ni katika nin?

Fafanua boss
 
Wanakuja, ni suala la uvumilivu tuu kidoogo.

G.Don-Master.
 
Fafanua biashara yako mkuu isije ikawa ni upatu
 
Sekta ya Afya pana mzee....nyoosha maelezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…