Mayai ya kisasa arusha mengi yanatoka huko maji ya chai,usa fuatilia hukohukoHabari zenu wana JF!
Natafuta wafugaji wa kuku wa mayai ili wawe wananilanguzia mayai na kwenda kuuzia wauza chips na mahotelini. Naombeni ushirikiano nimeamua nianze upya baada ya kuandika ule uzi wa kuumba msaada bila kupata mafanikio
Nipo Arusha maeneo ya Usa River ila popote ulipo ndani ya Arusha nitakufata. Karibuni
Sawa sawa man ngoja kesho nikafatilie huko nioneMayai ya kisasa arusha mengi yanatoka huko maji ya chai,usa fuatilia hukohuko
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mayai ya KIENYEJI hauitaji???Habari zenu wana JF!
Natafuta wafugaji wa kuku wa mayai ili wawe wananilanguzia mayai na kwenda kuuzia wauza chips na mahotelini. Naombeni ushirikiano nimeamua nianze upya baada ya kuandika ule uzi wa kuumba msaada bila kupata mafanikio
Nipo Arusha maeneo ya Usa River ila popote ulipo ndani ya Arusha nitakufata. Karibuni
Kuna mama anaitwa mama kirenga yupo engo, ana kuku zaidi ya elfu kumi wa mayai, hata ukitaka tray mia kwa siku unapata
Sahiv ni elf 7