Natafuta mawakala wa chuo cha Warwick cha UK

Natafuta mawakala wa chuo cha Warwick cha UK

Aurelio_CSM

Member
Joined
Oct 14, 2014
Posts
57
Reaction score
22
Habari wadau Mimi nimemaliza kidato cha NNE mwaka Jana nimefanya maombi chuo cha Warwick UK naomba kujua kama kuna mawakala wa hicho chuo humu ndani au kama uliwahi kusoma pale tujuzane mambo mbalimbali kuhusu hiki chuo.

Mimi nimeomba kozi ya international foundation program ya mwaka mmoja kabla ya kuingia degree. Naombeni msaada wenu.

Asante
 
Habari wadau Mimi nimemaliza kidato cha NNE mwaka Jana nimefanya maombi chuo cha Warwick UK naomba kujua kama kuna mawakala wa hicho chuo humu ndani au kama uliwahi kusoma pale tujuzane mambo mbalimbali kuhusu hiki chuo. Mimi nimeomba kozi ya international foundation program ya mwaka mmoja kabla ya kuingia degree. Naombeni msaada we nu. Asante
tembelea viwanja vya sabasaba kuna jamaa wanajiita global education link waweza pata maelekezo zaidi kuanzia bajet na mazngira ya chuo
 
Back
Top Bottom