NAtafuta mashuka ya mitumba na subufa

rich1

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2015
Posts
3,112
Reaction score
3,467
Kwema jamana

Natafuta mashuka ya mtumba 6×6 na subufa ya mtumba iliyo safi kabisa.
 
Sasa si useme uko Mkoa gani! Na huko Mkoani uliko hakuna hayo mashuka ya mtumba na hizo sabufa za kununua? Au unataka baadae uje tena na uzi wa kutapeliwa?
Nipo manyara.
 
Wireless sabufa ndo zip???
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…