Natafuta mashine ya selcom au max malipo

Natafuta mashine ya selcom au max malipo

ibuo

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2013
Posts
464
Reaction score
439
Kama kichwa cha habari kilivyo nahitaji mashine ya umeme iliyotumika iwe ya selcom au max malipo kwa alie nayo aje hapa tufanye biashara
 
Kama kichwa cha habari kilivyo nahitaji mashine ya umeme iliyotumika iwe ya selcom au max malipo kwa alie nayo aje hapa tufanye biashara
Sorry Mkuu, mie sio muuzaji,
lakini umejiandaa kwa Kiasi gani kama gharama ya Kununua??
Na Hicho Kiasi umeona huwezi kupata Mpya from ofisini kwao??
Maana unaweza ukanunua kwa mtu kwa bei ile ile ya Ofisi au hata kama ni cheaper lakini kile kiwango ulichookoa kwa kununua Used haki-justify usumbufu utakaoupata kununua kitu used
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom