rich1 JF-Expert Member Joined Jul 31, 2015 Posts 3,077 Reaction score 3,419 Mar 22, 2022 #1 Salama ndugu.....nilikuwa natafuta machine ya NMB Wakala ya kununua kwa mtu, mwenye nayo anicheki PM.
Salama ndugu.....nilikuwa natafuta machine ya NMB Wakala ya kununua kwa mtu, mwenye nayo anicheki PM.
Masokotz JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 3,832 Reaction score 6,468 Mar 22, 2022 #2 Nenda NMB
mtoto wa kibopa JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 5,336 Reaction score 6,426 Mar 22, 2022 #3 Nahitaji pia hiyo machine
rich1 JF-Expert Member Joined Jul 31, 2015 Posts 3,077 Reaction score 3,419 Mar 22, 2022 Thread starter #4 Masokotz said: Nenda NMB Click to expand... Hawatoi sikuiz
Masokotz JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 3,832 Reaction score 6,468 Mar 22, 2022 #5 rich1 said: Hawatoi sikuiz Click to expand... Wanatoa ni wewe tu uende na proposal inayoeleweka
rich1 JF-Expert Member Joined Jul 31, 2015 Posts 3,077 Reaction score 3,419 Mar 22, 2022 Thread starter #6 Masokotz said: Wanatoa ni wewe tu uende na proposal inayoeleweka Click to expand... Wekeni apa hizo proposal..
Masokotz said: Wanatoa ni wewe tu uende na proposal inayoeleweka Click to expand... Wekeni apa hizo proposal..
Masokotz JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 3,832 Reaction score 6,468 Mar 22, 2022 #7 rich1 said: Wekeni apa hizo proposal.. Click to expand... Kwanza akaunti yako iwe inasoma vizuri,pili uwe na location nzuri mengine inategemea na TAWI unaloends
rich1 said: Wekeni apa hizo proposal.. Click to expand... Kwanza akaunti yako iwe inasoma vizuri,pili uwe na location nzuri mengine inategemea na TAWI unaloends
Rurakha Senior Member Joined Oct 20, 2019 Posts 122 Reaction score 224 Sep 11, 2022 #8 Siku hizi hawato na wateja wengi hawawwzi kutumia NMB Mkononi