T Thaconfession JF-Expert Member Joined Jun 16, 2021 Posts 301 Reaction score 594 Jan 5, 2022 #1 Habari za wakati huu ndugu zanguni, Kama Kuna mtu mwenye mashine ya NMB WAKALA, hafanyii kazi au anaiuza kwa sababu yoyote tuwasiliane, nimeitafuta kwa udi na uvumba lakini zimekuwa ngumu kweli kweli kupatikana!
Habari za wakati huu ndugu zanguni, Kama Kuna mtu mwenye mashine ya NMB WAKALA, hafanyii kazi au anaiuza kwa sababu yoyote tuwasiliane, nimeitafuta kwa udi na uvumba lakini zimekuwa ngumu kweli kweli kupatikana!
Kanye2016 JF-Expert Member Joined Jun 4, 2016 Posts 3,019 Reaction score 3,201 Jan 5, 2022 #2 Mimi mwenyewe nahitaji, aliyekuwa nayo ni PM
N nyumbamungu JF-Expert Member Joined Mar 3, 2017 Posts 1,034 Reaction score 900 Jan 6, 2022 #3 Upo mkoa gani?
jogijo JF-Expert Member Joined Mar 29, 2019 Posts 262 Reaction score 509 Jan 7, 2022 #4 nyumbamungu said: Upo mkoa gani? Click to expand... Mm pia naihtaj sema wewe mkoa uliopo
Kanye2016 JF-Expert Member Joined Jun 4, 2016 Posts 3,019 Reaction score 3,201 Jan 7, 2022 #5 nyumbamungu said: Upo mkoa gani? Click to expand... Dom