Natafuta mashine ya kusaga

Mtini

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2011
Posts
1,493
Reaction score
2,366
Wadau natafuta mashine ya kusaga, hivi inaweza kugharimu sh ngapi na aina gani nzuri na inapatikana wapi?
 
kuna ndugu yangu anazo ya kusaga na kukoboa mashine ziko nyumbani kwake sinza....kama uko serious nku pm # yake
 
kuna ndugu yangu anazo ya kusaga na kukoboa mashine ziko nyumbani kwake sinza....kama uko serious nku pm # yake


sema hapahapa bei zake ,sehemu alipo hapo Sinza aina za mashine na namba zake za simu hakuna haja ya pm.
 
sema hapahapa bei zake ,sehemu alipo hapo Sinza aina za mashine na namba zake za simu hakuna haja ya pm.

wengine siyo mpaka utoe namba zao za sim hadharani aina sijajua za maahine ila mwenye hizo mashine yuko sinza makaburuni ulw mtaa wa mwika bar....ni mashine nzuri tangu achukue akitumia kidogo ila mashine hizo aliziagiza toka ujerumani, hata hivyo naona huyu mtakaji yuko kimya mpaka sasa
 
nipe namba yake
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…