Natafuta mashine ya kumpimia gari

Natafuta mashine ya kumpimia gari

Vumbi la congo

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
666
Reaction score
982
Wakuu nahitaji mashine ya kupimia gar yenye uwez ya kupima mifumo mingi kama (abs).air bag)sio engine tu pekee...
 
Wakuu nahitaji mashine ya kupimia gar yenye uwez ya kupima mifumo mingi kama (abs).air bag)sio engine tu pekee...
bajeti yako kwanza kabla ya yote umejipangaje mkuu??.maana zipo za bei tofauti kutokana na ubora wake na niyakampuni gani??.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom