R rajoh Senior Member Joined Jun 2, 2011 Posts 174 Reaction score 142 Apr 20, 2013 #1 Jamani mwenye kujua mtu/sehemu ambapo naweza kupata mashine zile kubwa za printing. Niliziona kariakoo lakini sikuweza kujua zinapatikana vipi. Rim moja huwa inakuwa printed kwa wastani wa dk. 10 - 20 hivi. Asante.
Jamani mwenye kujua mtu/sehemu ambapo naweza kupata mashine zile kubwa za printing. Niliziona kariakoo lakini sikuweza kujua zinapatikana vipi. Rim moja huwa inakuwa printed kwa wastani wa dk. 10 - 20 hivi. Asante.