Natafuta mark x

Xidian

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Posts
503
Reaction score
149
habari ya Pasaka wanajamvi?
Kichwa cha habari chajieleza. Natafuta Mark X au Verosa ambayo itakuwa imetumika kidogo ,bei maelewano .
unaweza ukasema hapahapa au ukani PM
Natanguliza shukrani za dhati .
 
kiongozi verosa ya 2004 , silva nitakuuzia kwa 14.5 na mark x number c nitakuuzia 22m zaidi 0657145555.
 
Verossa silver haijatumika namba ni latest 16...u ll never regret buying.
 
habari ya Pasaka wanajamvi?
Kichwa cha habari chajieleza. Natafuta Mark X au Verosa ambayo itakuwa imetumika kidogo ,bei maelewano .
unaweza ukasema hapahapa au ukani PM
Natanguliza shukrani za dhati .

mkuu kamata yangu hii hapa, imetembea kilometa 38,000 tu, na imetumika bongo miezi 3 tu. ntakufanyia kwa 17.5M
 
Mie nauza Mark X yangu imetembea kilometa 80,000 ni model ya 2005 ila number ndio za zamani AWZ bei maelewano, km unatenda kuiona Ni PM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…