Think Bigg
Member
- Sep 15, 2015
- 23
- 2
Mimi ni mwanaume
natafuta marafiki jinsia yoyote awe anaishi Dar, umri 20-30, elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea, mimi umri wangu miaka 24 elimu kidato cha 6, nimejiajiri
Mimi mwanaume umri 24 elimu kidato cha 6, nimejiajiri, natafuta marafiki jinsia yoyote, elimu kkuanzia kidato cha nne na kuendelea, umri 24-30 awe anaishi Dar es salaam...
naomba ajira boss
Ajira gani kaka, jieleze vizuri taaluma yako nini unafanya kwa sasa umri n.k
ww siumejiajiri boss hyo hyo ajira yako mkuu
naomba ajira mkuu
Hakuna mwanaume wa hivi, sema unachtafuta ni nini!
m nataka bottom mpya
umejiajiri kwa kitu gani
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 24, urefu 165cm, maji ya kunde, mwili wa wastan, mkristo, elimu yangu kdato cha 6 nimejiajir, naish Dar es salaam Natafuta marafik umri kuanzia miaka 20-30 elimu kidato cha nne na kuendelea, jinsia yoyote, urefu. 160 -170cm
Sio shoga kweli wewe janadume?
Unauhakika hushiriki mapenzi ya obama