Natafuta Marafiki

silent_soldier

Senior Member
Joined
Aug 10, 2015
Posts
193
Reaction score
62
Niite Silent Soldier Humu JF, natafuta marafiki wa kike na wakiume.

Nipo dar ingawa nyumbani Dodoma. Nimeishi mikoa kadhaa; Tanga, Bukoba, Morogoro, Arusha, Tabora, nk

Nimemaliza kidato cha sita, ninatazamia kuanza masomo ya Elimu ya Juu baadae Novemba.

Niandikie wasup +255716984810
 

Si useme tu una tafuta demu
 

Mimi nakuwa adui yako kuanzia sasa
 
sumbai hana la kusema maana alininyima kuingia celebrate nikarudi sport napo analalamika sasa nikahamia MMU
Haya kila la kheri katika safari yako
 
Last edited by a moderator:
Asante mwaya. Nikitoka hapa naenda jukwaa la wakubwa
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] we kama ni daladala ungekuwa unatumia pesa nyingi sana maana hizo rut zako ni hatari
 
Watu mna mbwembwee.....
inamaana toka ulipo anza kusoma hadi umemaliza kidato cha sita, ulikuwa huna malafiki......
sema unatafuta demu....!!!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…