Nduka JF-Expert Member Joined Dec 3, 2008 Posts 8,552 Reaction score 2,385 Mar 30, 2014 #41 DIKACY said: Natafuta marafiki wa kiume kuanzia miaka 38 mpaka 50,wawe single. Click to expand... Umri huo nakushauri tafuta njia uingie CDM maana huko kuna boyfriend wa miaka 74 na girlfriend wake ana 49.
DIKACY said: Natafuta marafiki wa kiume kuanzia miaka 38 mpaka 50,wawe single. Click to expand... Umri huo nakushauri tafuta njia uingie CDM maana huko kuna boyfriend wa miaka 74 na girlfriend wake ana 49.
B Benokolongokonongose JF-Expert Member Joined Jun 25, 2012 Posts 213 Reaction score 53 Mar 30, 2014 #42 Tunakuja utupokee
Horseshoe Arch JF-Expert Member Joined Aug 10, 2009 Posts 13,402 Reaction score 12,787 Mar 30, 2014 #43 Ngosha Kugema said: Wakija kumi utaweza kuwahudumia? Michepuko sio dili baki njia kui Click to expand... Abaki njia kuu kwani amekuwa lorry la mizigo? Atumie tu alichopewa bure in fact halipii hata income tax na haiishi!
Ngosha Kugema said: Wakija kumi utaweza kuwahudumia? Michepuko sio dili baki njia kui Click to expand... Abaki njia kuu kwani amekuwa lorry la mizigo? Atumie tu alichopewa bure in fact halipii hata income tax na haiishi!
gwijimimi JF-Expert Member Joined Sep 24, 2011 Posts 7,344 Reaction score 3,616 Mar 30, 2014 #44 DIKACY said: Natafuta marafiki wa kiume kuanzia miaka 38 mpaka 50,wawe single. Click to expand... Sasa kama ni marafiki kwann wawe single?inahusika nn na urafiki wenu au mm ndo mwehu sijaelewa?
DIKACY said: Natafuta marafiki wa kiume kuanzia miaka 38 mpaka 50,wawe single. Click to expand... Sasa kama ni marafiki kwann wawe single?inahusika nn na urafiki wenu au mm ndo mwehu sijaelewa?
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 51,006 Reaction score 72,305 Mar 30, 2014 #45 Nduka said: Umri huo nakushauri tafuta njia uingie CDM maana huko kuna boyfriend wa miaka 74 na girlfriend wake ana 49.[/QUOT Hii comment naomba ionwe kule jukwaa la siasaa Click to expand...
Nduka said: Umri huo nakushauri tafuta njia uingie CDM maana huko kuna boyfriend wa miaka 74 na girlfriend wake ana 49.[/QUOT Hii comment naomba ionwe kule jukwaa la siasaa Click to expand...
B Baba JJ Senior Member Joined Feb 15, 2013 Posts 194 Reaction score 98 Mar 30, 2014 #46 DIKACY said: Natafuta marafiki wa kiume kuanzia miaka 38 mpaka 50,wawe single. Click to expand... miaka 38 single?. sema unatafuta wajane ili tuelewe!!!!!
DIKACY said: Natafuta marafiki wa kiume kuanzia miaka 38 mpaka 50,wawe single. Click to expand... miaka 38 single?. sema unatafuta wajane ili tuelewe!!!!!
U uwemba1 JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 987 Reaction score 718 Mar 30, 2014 #47 Nduka said: Umri huo nakushauri tafuta njia uingie CDM maana huko kuna boyfriend wa miaka 74 na girlfriend wake ana 49. Click to expand... we mngese hapa ni MMU mambo ya Siasa peleka huko
Nduka said: Umri huo nakushauri tafuta njia uingie CDM maana huko kuna boyfriend wa miaka 74 na girlfriend wake ana 49. Click to expand... we mngese hapa ni MMU mambo ya Siasa peleka huko
Nduka JF-Expert Member Joined Dec 3, 2008 Posts 8,552 Reaction score 2,385 Mar 31, 2014 #48 uwemba1 said: we mngese hapa ni MMU mambo ya Siasa peleka huko Click to expand... Mngese baba yako mzazi aliyekulea wewe mtoto wa haramu.
uwemba1 said: we mngese hapa ni MMU mambo ya Siasa peleka huko Click to expand... Mngese baba yako mzazi aliyekulea wewe mtoto wa haramu.
E eponsianus Member Joined Mar 19, 2014 Posts 23 Reaction score 0 Mar 31, 2014 #49 mbona haujatoa no yako
NAMTUMBA JF-Expert Member Joined Feb 20, 2014 Posts 1,939 Reaction score 600 Mar 31, 2014 #50 gwijimimi said: Sasa kama ni marafiki kwann wawe single?inahusika nn na urafiki wenu au mm ndo mwehu sijaelewa? Click to expand... Nahisi mtoa mada Upo sahihi. Anamaanisha wakiwa ni waume za watu atakosa uhuru wakutokanao, kuchati kwa mipaka, kuonana kwa mipaka hivyo hapendi usumbufua. Ni mtazamo Wangu tu.
gwijimimi said: Sasa kama ni marafiki kwann wawe single?inahusika nn na urafiki wenu au mm ndo mwehu sijaelewa? Click to expand... Nahisi mtoa mada Upo sahihi. Anamaanisha wakiwa ni waume za watu atakosa uhuru wakutokanao, kuchati kwa mipaka, kuonana kwa mipaka hivyo hapendi usumbufua. Ni mtazamo Wangu tu.
Bilionea Asigwa JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 16,578 Reaction score 28,701 Sep 27, 2015 #51 Nitafute namba yangu ya tiGo si unaijua???