burtons JF-Expert Member Joined Dec 30, 2009 Posts 280 Reaction score 86 Dec 23, 2014 #1 Wana JF natafuta mama mtu mzima kuanzia miaka 35 up to 45 yrs ambaye ntakua na date naye please kwa aliyetayari ani inbox pia awe tayari kupima HIV n naomba kuwasilisha JF
Wana JF natafuta mama mtu mzima kuanzia miaka 35 up to 45 yrs ambaye ntakua na date naye please kwa aliyetayari ani inbox pia awe tayari kupima HIV n naomba kuwasilisha JF
Kiwa JF-Expert Member Joined Oct 4, 2011 Posts 2,102 Reaction score 910 Dec 23, 2014 #2 Mkuu mama mtu mzima kwa shughuli gani? Maana naamini hata bi mkubwa wako ni mama mtu mzima,atakufaa kwa ushauri
Mkuu mama mtu mzima kwa shughuli gani? Maana naamini hata bi mkubwa wako ni mama mtu mzima,atakufaa kwa ushauri
burtons JF-Expert Member Joined Dec 30, 2009 Posts 280 Reaction score 86 Dec 23, 2014 Thread starter #3 Kwa ajili ya dating kaka Kiwa
I Itezi JF-Expert Member Joined Feb 8, 2014 Posts 389 Reaction score 95 Dec 23, 2014 #4 pole,,,,,, hivi huwaga mnatafutaga kutaka kujua nini kwa hao mama watu wazima???????? maana huu ugonjwa unazidi kukua,,, na tiba inaonyesha bado haijapatikana,,,,,,
pole,,,,,, hivi huwaga mnatafutaga kutaka kujua nini kwa hao mama watu wazima???????? maana huu ugonjwa unazidi kukua,,, na tiba inaonyesha bado haijapatikana,,,,,,
Kaveli JF-Expert Member Joined Dec 4, 2012 Posts 5,467 Reaction score 9,007 Dec 24, 2014 #5 Sikushangai sana, coz LIFE has a lot of options. Kila lakheri kiongozi