R raslimali JF-Expert Member Joined Nov 4, 2014 Posts 2,362 Reaction score 2,274 Sep 4, 2020 #1 Wakuu kwa yeyote anayeweza kunisaidia kupata malimao kwa bei ya jumla tafadhali anijuze. Natanguliza shukrani.
Wakuu kwa yeyote anayeweza kunisaidia kupata malimao kwa bei ya jumla tafadhali anijuze. Natanguliza shukrani.
mkabasia JF-Expert Member Joined Mar 11, 2014 Posts 3,084 Reaction score 2,844 Sep 4, 2020 #2 We upo wapi?
kamanda wa makamanda JF-Expert Member Joined Aug 21, 2015 Posts 633 Reaction score 498 Sep 5, 2020 #3 Tanga gunia laki2
Logikos JF-Expert Member Joined Feb 26, 2014 Posts 17,572 Reaction score 27,416 Sep 5, 2020 #4 kamanda wa makamanda said: Tanga gunia laki2 Click to expand... gunia lina limao ngapi approximately..., haya mambo ya gunia linaweza likawa gunia lenye utapiamlo au gunia lenye ukosefo wa lishe...
kamanda wa makamanda said: Tanga gunia laki2 Click to expand... gunia lina limao ngapi approximately..., haya mambo ya gunia linaweza likawa gunia lenye utapiamlo au gunia lenye ukosefo wa lishe...
amu JF-Expert Member Joined Aug 8, 2012 Posts 16,169 Reaction score 31,356 Sep 5, 2020 #5 kamanda wa makamanda said: Tanga gunia laki2 Click to expand... Jamani [emoji1787]
Masagala JF-Expert Member Joined Jan 28, 2017 Posts 4,673 Reaction score 9,378 Sep 5, 2020 #6 raslimali said: Wakuu kwa yeyote anayeweza kunisaidia kupata malimao kwa bei ya jumla tafadhali anijuze. Natanguliza shukrani. Click to expand... Takupa jibu kesho
raslimali said: Wakuu kwa yeyote anayeweza kunisaidia kupata malimao kwa bei ya jumla tafadhali anijuze. Natanguliza shukrani. Click to expand... Takupa jibu kesho
R raslimali JF-Expert Member Joined Nov 4, 2014 Posts 2,362 Reaction score 2,274 Sep 5, 2020 Thread starter #7 masagala said: Takupa jibu kesho Click to expand... ok, asante
R raslimali JF-Expert Member Joined Nov 4, 2014 Posts 2,362 Reaction score 2,274 Sep 5, 2020 Thread starter #8 kamanda wa makamanda said: Tanga gunia laki2 Click to expand... Mkuu lina wastani wa limao ngapi na ni limao kubwa au ndogo?
kamanda wa makamanda said: Tanga gunia laki2 Click to expand... Mkuu lina wastani wa limao ngapi na ni limao kubwa au ndogo?
Princep JF-Expert Member Joined Nov 25, 2016 Posts 586 Reaction score 848 Sep 5, 2020 #9 Limao moja Kwa bei ya jumla ni 350-450