Natafuta maembe dodo

Upo wapi???
Watanzania hata kujieleza kwa kiswahili tu ni tatizo.
 
Licheki mchangani utalikuta limelala.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] embe dodo sio,.. njoo chumbani kwangu yamejaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Juzi nmeenda soko la Buguruni kuna Dodo nmezikuta nyingi afu nene.Nkauliza hizi Embe mbna zimenona za wapi hizi jamaa akanambia hizi zinatoka Sudani nlishangaa sana
 
Ana uzu shingapi
 
Kama unaweza kuja chukua mzigo Geita nicheki kwa namba 0628944712 tuongee
 
Cjui utakuwa lini[emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27]
Mkuu Tangazo lako lina utata kidogo ndiyo maana unapata majibu ya namna hii.
Nenda buguruni sokoni kafanye survey
Kama unataka bulky unaweza kufanya mchakato pale pale
 
Mim nafanya biashara ilala natufuta wakulima wa mikoana maana alikuwa ananiletea nataka nimuacha
 
Juzi nmeenda soko la Buguruni kuna Dodo nmezikuta nyingi afu nene.Nkauliza hizi Embe mbna zimenona za wapi hizi jamaa akanambia hizi zinatoka Sudani nlishangaa sana
Hata parachichi zinatoka Burundi siku hizi
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…