Pazone
Member
- Apr 21, 2018
- 18
- 13
Salama wakuu,
Nahitaji mashine ya kutengeneza popcorn,
iwe ya umeme kwa matumizi ya kutengeneza popcorn za biashara.
Nipo Tunduma yeyote mwenye kujua inakopatikana na bei zake tafadhali naomba anijuze na ikiwezekana ani-PM namba tuweze kuwasiliana.
Asanten
Sent using Jamii Forums mobile app