Natafuta machine ya kufyatulia matofali

Natafuta machine ya kufyatulia matofali

Ipo moja mpya kabisa Kimara Dar...
Tsh. 500,000
Nipigie: 0688382415
Naomba kujua formula ya kuchanganya udongo wa kutengenezea hizo tofali za interlocking na namna inavyosave cement wakati wa ujenzi
 
Kama uko jirani na Arusha nenda Sido Ungalimited ndio wanaoaminika zaidi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom