Natafuta line ya M-Pesa na Airtel money

Natafuta line ya M-Pesa na Airtel money

gimanini

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2015
Posts
1,910
Reaction score
1,981
Natafuta laini kwa ajili ya uwakala,alie Nazo tuwasiliane.
 
Nipo Dar zote utapata na usajiri wa jina lako
Mpya kbs
0716648505
 
Nipo Dar zote utapata na usajiri wa jina lako
Mpya kbs
0716648505
Kama wewe naweza kukutafuta sio mtu anakupa line ina jina lake imeshatumika vya kutosha mwisho kwenye malipo na mambo mengine ya muhimu tuanze kusumbuana halaf mambi ya nchi hii saivi bora ufanye vitu straight tu
 
Nenda ofisini,rahisi ni ghali sana,watu washalia sana mkuu
 
Kama wewe naweza kukutafuta sio mtu anakupa line ina jina lake imeshatumika vya kutosha mwisho kwenye malipo na mambo mengine ya muhimu tuanze kusumbuana halaf mambi ya nchi hii saivi bora ufanye vitu straight tu
Ni kweli kbs usemayo
Nitafute na utafika ofisini kbs sio uchochoroni
 
wenye ufahamu mtwambie ofisini line zinatokewa kwa sh.ngap na mchakato wake ukoje (unachukua siku ngap)

maana naona watu wanaogopa ofs wanapita njia ya mkato tu.
 
Habari zenu?nauza bajaji aina 4strock cheche pacha bei miloni moja nalaki tano,mawasiliano zaidi 0754200611 napatikana tabata bima dar
 
Back
Top Bottom