PCGAMES
JF-Expert Member
- Apr 11, 2013
- 802
- 1,190
Habari zenu wadau, naishi Arusha nahitaji laptop kwa ajili ya Gaming aina ya HP. Ambayo ina specifications angalau zifuatazo:
CPU Core i7 au i5 6th gen na kuendelea,
Kioo 15 inch na kuendelea touch screen ni priority,
At least 8gb DDR 4 one slot,
Nvidia 2gb na kuendelea,
256gb SSD,
Backlit keyboard,
Aluminium body material,
Mpya au Refurbished.
Bajeti ni 1,100,000tshs around.
Nimejaribu kuangalia maduka ya Arusha laptop zina gharama ya juu.
Nimekuwa nikifuatilia baadhi ya akaunti za maduka Instagram kama Computerbeipoa na Dar dealers bila mafanikio kulingana na Laptop ninayohitaji na bajeti niliyonayo.
Tafadhali kama kuna mahali pengine iwe online kama ni nje ya Arusha au Arusha wanauza laptop kama hiyo hapo juu, naomba unijulishe ili niweze kuipata.
Picha hiyo hapo chini ni mfano wa HP yenye aluminium body material. Itapendekeza kama ikiwa envy au pavilion.
Au ambaye anaweza kufanya biashara nami kwa laptop anayomiliki bila kuathiri specifications hapo juu, nione inbox.
Asante.