Ahsante ndugu
#UkomboziMpya kwa msaada wako ila naomba mawasiliano yao hao wauzaji ili niweze kuwasiliana nao kwanza waweze kunipa clear specification kabla sijafika dukani ka manunuzi kwani niko nje ya jiji kidogo.
Kuhusu chochote hakika nitakukumbuka.