mbasajohn JF-Expert Member Mar 14, 2009 247 39 Aug 30, 2011 #1 Waheshimiwa naomba msaada natafuta laptop mpya i mean not used au notebook ambayo ni nzuri na kwa bei nafuu nani anajua wauzaji wazuri na wenye ubora na ambao ni trusted. please naomba ushauri pia kuhusu aina nzuri na specification
Waheshimiwa naomba msaada natafuta laptop mpya i mean not used au notebook ambayo ni nzuri na kwa bei nafuu nani anajua wauzaji wazuri na wenye ubora na ambao ni trusted. please naomba ushauri pia kuhusu aina nzuri na specification
Donnie Charlie JF-Expert Member Sep 16, 2009 15,167 16,257 Aug 31, 2011 #2 Jaribu hawa wana machine mpya kwa bei nzuri sana City Axis Computer 0222127571/72