Natafuta laptop au kompyuta.

Natafuta laptop au kompyuta.

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2016
Posts
20,746
Reaction score
25,646
kwa wakazi wa Dar Es Salaam naomba mnitajie ni duka gani linauza laptop imara au kompyuta za bei ya chini isizidi 300,000/=
 
Yangu used itakufaa mpya wala haijatumika kubwa na utaipenda sana
 
Computer ya lak 3 lzma itakuwa na mapungufu haiwez kuwa imara... Nenda kkoo utapewa dell latitude(mkulima) used o hp...au uliza wanachuo waliofulia wakuuzie
 
Mi apa chuo zpo mbil moja dell inspiron i3 lkn inafunction kama pentium.. Nyingine lenovo yenywe mwenywe wakishua kaichoka...ukihitaj kuziona weka no nkutumie whatsapp
 
Back
Top Bottom