Natafuta Laptop aina ya PRO BOOK, Intel 3i, RAM 4GB, processor 2.10 GHZ, 500 HDD.......nina TZ Tsh LAKI NANE, na nipo Dar es salaam, naomba msaada wenu wakuu kama kuna mwenye nayo au ana taarifa zozote zinazo weza saidia nikaipata!, Ahsante kwa ushirikiano wenu..