E Englishlady JF-Expert Member Joined Apr 11, 2013 Posts 2,734 Reaction score 3,654 Mar 10, 2018 #1 Tafadhali natafuta broiler aliyetayari kuliwa maeneo ya Mbezi na Kimara. Bei ni tsh 5500 kushuka chini.
Tafadhali natafuta broiler aliyetayari kuliwa maeneo ya Mbezi na Kimara. Bei ni tsh 5500 kushuka chini.
POTIZILLAH Member Joined Apr 30, 2011 Posts 87 Reaction score 158 Oct 10, 2018 #2 wakija wauzaji niite mimi pia nahitaji
E Edzone JF-Expert Member Joined Jan 26, 2017 Posts 2,019 Reaction score 1,866 Oct 10, 2018 #3 Englishlady said: Tafadhali natafuta broiler aliyetayari kuliwa maeneo ya Mbezi na Kimara. Bei ni tsh 5500 kushuka chini. Click to expand... Wapo wakutosha mbezi Goba
Englishlady said: Tafadhali natafuta broiler aliyetayari kuliwa maeneo ya Mbezi na Kimara. Bei ni tsh 5500 kushuka chini. Click to expand... Wapo wakutosha mbezi Goba
POTIZILLAH Member Joined Apr 30, 2011 Posts 87 Reaction score 158 Oct 10, 2018 #4 Edzone said: Wapo wakutosha mbezi Goba Click to expand... sehemu gani na nani anauza, kama una mawasiliano mkuu itakua poa sana
Edzone said: Wapo wakutosha mbezi Goba Click to expand... sehemu gani na nani anauza, kama una mawasiliano mkuu itakua poa sana
SPYMATE JF-Expert Member Joined Apr 17, 2013 Posts 2,365 Reaction score 2,392 Oct 10, 2018 #5 POTIZILLAH said: sehemu gani na nani anauza, kama una mawasiliano mkuu itakua poa sana Click to expand... Hivi bado mnawala hao kuku taahira?
POTIZILLAH said: sehemu gani na nani anauza, kama una mawasiliano mkuu itakua poa sana Click to expand... Hivi bado mnawala hao kuku taahira?
POTIZILLAH Member Joined Apr 30, 2011 Posts 87 Reaction score 158 Oct 10, 2018 #6 SPYMATE said: Hivi bado mnawala hao kuku taahira? Click to expand... sana mkuu
dronedrake JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 24,846 Reaction score 61,875 Oct 10, 2018 #7 SPYMATE said: Hivi bado mnawala hao kuku taahira? Click to expand... nami nashangaa
Alexander The Great JF-Expert Member Joined Aug 28, 2018 Posts 4,514 Reaction score 23,702 Oct 10, 2018 #8 Kuku anakua kwa PANADOL na KOFLYN, halafu kesho mje mtulilie JF mnahitaji msaada wa kurudisha nguvu za kiume [emoji18]
Kuku anakua kwa PANADOL na KOFLYN, halafu kesho mje mtulilie JF mnahitaji msaada wa kurudisha nguvu za kiume [emoji18]
SPYMATE JF-Expert Member Joined Apr 17, 2013 Posts 2,365 Reaction score 2,392 Oct 10, 2018 #9 Alexander The Great said: Kuku anakua kwa PANADOL na KOFLYN, halafu kesho mje mtulilie JF mnahitaji msaada wa kurudisha nguvu za kiume [emoji18] Click to expand... Umeona enhe?? Mi nina miaka sijavila hivyo vijitu pamoja na mayai yake. Ukijisikia kula kuku unakamata kishingo au kokorikoo mwenyewe wa kienyeji , pili pili kwa wingi unapiga na dona Safi yaani vitu vinashuka tar- tibu
Alexander The Great said: Kuku anakua kwa PANADOL na KOFLYN, halafu kesho mje mtulilie JF mnahitaji msaada wa kurudisha nguvu za kiume [emoji18] Click to expand... Umeona enhe?? Mi nina miaka sijavila hivyo vijitu pamoja na mayai yake. Ukijisikia kula kuku unakamata kishingo au kokorikoo mwenyewe wa kienyeji , pili pili kwa wingi unapiga na dona Safi yaani vitu vinashuka tar- tibu