ahahahahahaaaaa...wala siyo deal wala nini...nenda pale sinza along shekilango road mitaa ya makaburini kuna godown moja linauza biaza jumla la wakala wa serengeti lager gonga hodi pale ingia ndani kuna containers kama utitiri hadi za 40ft..pesa yako tuu ... hizo habari za document na usafiri utaongea na muuzaji ndio anayajua hayo... naamini nimekusaidia.... ukiuza bia utanikumbuka kwa kunipa discount ya bia mbili za mwanzo nitazokunywa kwenye container baa yako