Natafuta kiwanja

shegacool2015

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2014
Posts
394
Reaction score
133
Happy new year....
Wana Jf naimani mpo Salama salimin,
Natafuta Kiwanja, budget 5-8M kiwe kimepimwa, mkoaa wa Dar, (kigamboni, temeke,....)
 
Kipo hapa mbezi mpiji magohe kinazidi 25*25 8milions na vipo vinne sehem moja
 
Bunju, kimara/ mbezi nafanya last option napendelea ambacho kipo karibu ya temeke kwanza,
 
Happy new year....
Wana Jf naimani mpo Salama salimin,
Natafuta Kiwanja, budget 5-8M kiwe kimepimwa, mkoaa wa Dar, (kigamboni, temeke,....)

Kama upo serious kigamboni mwembe mdogo kuna viwanja vingi tu kwa Bajeti yako hiyo utapata sqm af600 hadi 800 kama unataka niPM namba zako
 
Happy new year....
Wana Jf naimani mpo Salama salimin,
Natafuta Kiwanja, budget 5-8M kiwe kimepimwa, mkoaa wa Dar, (kigamboni, temeke,....)

kipo chamazi temeke karibu na uwanja wa azam complex, tena kipo barabarani nipm
 
Kama upo serious kigamboni mwembe mdogo kuna viwanja vingi tu kwa Bajeti yako hiyo utapata sqm af600 hadi 800 kama unataka niPM namba zako

Nimepata ila naomba number yako kuna mtu anahitaji
 
vipo vingi tu kigamboni, cheka... mbele kidogo ya dege. nipigie 0714881500
kwa 8m nakupa viwili vya squaremeter 900 yaani 1800 sqmtr total.
 
Kiwanja unanunua kisha unaenda kupima mwenyewe
 
Kipo kimoja wazo in cha mdada anataka 4 Tu,na ameshaweka msingi
 
Ninacho mbande hakijapimwa na kina tofali 2000 ukubwa 20 kwa 30 gari inafika kituo cha kushuka ni songasi 0712151818
 
Kipo kimoja wazo in cha mdada anataka 4 Tu,na ameshaweka msingi

Ukubwa gan ndugu na ni eneo la barabarani au?Msingi uliowekwa ni wa vyumba vingap?Je ana document zote kama Hati na mengineyo.Ntashukuru kama ntapata majibu ya maswali hayo
 
Jiongeze ufikishe million 25 nikuuzie hatua 25 kwa 30. Kipo kwa Moga Goba.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…