nahitaji kiwanja maeneo
ya kigamboni au salasala.ukubwa kuanzia 800sq.m na kuendelea mwenye
nacho tuwasiliane
Kwa Ushauri wangu kuwa
muangalifu sana eneo la kigamboni linatakiwa kuvunjwa na Smt, ili
kujengwa mji mpya, hivyo lazima ufahamu mji huo unaishia wapi,kwa
ninavyo fahamu unamalizia kibada na upande mwengine mji mwema.
Sijui eneo unalo taka lipo wapi, kwa kumalizia, mimi nina jenga fish
pond katika garden, kila design, na ninavifaa Maalumu za kusafisha maji,
oxygen, plant � oxygen, na.k kwa bei poa, utakapo kuwa Tayari contact
me, nassor25@hotmail.com
Kwa Ushauri wangu kuwa muangalifu sana eneo la kigamboni linatakiwa kuvunjwa na Smt, ili kujengwa mji mpya, hivyo lazima ufahamu mji huo unaishia wapi,kwa ninavyo fahamu unamalizia kibada na upande mwengine mji mwema.
Sijui eneo unalo taka lipo wapi, kwa kumalizia, mimi nina jenga fish pond katika garden, kila design, na ninavifaa Maalumu za kusafisha maji, oxygen, plant 🌿 oxygen, na.k kwa bei poa, utakapo kuwa Tayari contact me, nassor25@hotmail.com
nahitaji kiwanja maeneo ya kigamboni au salasala.ukubwa kuanzia 800sq.m na kuendelea mwenye nacho tuwasiliane
Ni PM namba yako
Kwa Ushauri wangu kuwa muangalifu sana eneo la kigamboni linatakiwa kuvunjwa na Smt, ili kujengwa mji mpya, hivyo lazima ufahamu mji huo unaishia wapi,kwa ninavyo fahamu unamalizia kibada na upande mwengine mji mwema.
Sijui eneo unalo taka lipo wapi, kwa kumalizia, mimi nina jenga fish pond katika garden, kila design, na ninavifaa Maalumu za kusafisha maji, oxygen, plant 🌿 oxygen, na.k kwa bei poa, utakapo kuwa Tayari contact me, nassor25@hotmail.com
Maeneo hayo yako Kisarawe II njia ya kwenda Mwasonga na Gezaulole. Pia endapo unataka kununua eneo maeneo unayodhani yako ndani ya mradi, tafuta lenye hati kwani ndani ya eneo la mradi pia kuna maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya makazi. Na pia unapaswa kuhakiki kwenye ofisi za wizara ya ardhi. Mfano wa maeneo ya Makazi ndani ya mradi ni Kisota. Ni hayo tu.

Laki 9 au milioni 9