Natafuta kiwanja

gozo

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2011
Posts
458
Reaction score
86
Habari za weeken wakuu

Natafuta kiwanja cha kujenga nyumba yenye vyumba vi 4 na fensi....maeneo ni tabata,mbezi ya kimara,kimara,tegeta,goba,mbagala,kongowe.....kiwanja kisiwe mbali na barabara,kiwe tambarare na huduma kama maji na umeme ziwepo....bajeti yangu ni millioni 7 tu......
 
njoo kigamboni nikuuzie. nje ya mji mpya zinapojengwa nyumba za mradi wa NSSF. nusu eka bei 4Mil
0716-844978
 
Chanika hapana mkuu....
 
njoo kigamboni nikuuzie. nje ya mji mpya zinapojengwa nyumba za mradi wa NSSF. nusu eka bei 4Mil
0716-844978

Kigamboni hapana mkuu.....nataka maeneo tajwa hapo juu
 
ninacho mbezi makabe 0717 613540 lakn utaongeza ela kidogo manake kina ukubwa wa 30m kwa 40m
 
ninacho mbezi makabe 0717 613540 lakn utaongeza ela kidogo manake kina ukubwa wa 30m kwa 40m

Mbezi makabe ipi mkuu?toa maelekezo ya kujitosheleza....kipo umbali gani kutoka barabarani?.....kuna umeme tayari maeneo ya kiwanja?....gari linafika mpaka maeneo ya kiwanja?.....kipo tamabarare au kinamwinuko?.....
 

Kaka me ninacho kimara golani kina msingi wa nyumba kamili na eneo lina ukubwa wa makadirio ya sq mita 1300 lakini pesa yako haina maslahi ongeza pesa...0714783571
 
mbezi makabe msakuzi, mwisho wa daladala za msakuzi. takriban mita 200 toka barabarani, umeme upo, ni tambarare
 
Jamani na Mimi nauza kiwanja kipo kibaha picha ya ndege na kina hati ukubwa ni sq 685 bei 5milion,
 
Magomen fundikira kuna eneo.la kujenga kama 4rooms za straight 0766589444
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…