mpitanjia2005
Member
- Jul 27, 2013
- 40
- 5
halafu dar kivule ndio wapi?nyumba ipo dar kivule karibu na shule ya kivule ina nyumba viwili na ina vyumba vitatu vya biashara yaani frem zilizopo bararani ina uwnja wa kutosha kujenga tena bei ni mill 15(maelewano) eneo ni robo heka
unakubali kulipwa kwa instalments ya mara tatu?? halafu dar kivule ndio wapi?
unakubali kulipwa kwa instalments ya mara tatu?? halafu dar kivule ndio wapi?
Mokoyo unamaanisha 30M kwa size hiyo ya 600 sqm?
mean unalipa mil 5 kwnza thena unamalizia hivyo hivyo
Habari wa JF,
Natafuta kiwanja kisichopungua ukubwa wa sqm 600 kati ya maeneo yafuatayo:
1.Salasala
2.Mbweni
3.Bunju
Kiwe kimepimwa na serikali na hakina mgogoro wowote.
Budget: 15M
Je kuna uwezekano wa kupata???
Mwenye details zozote naomba anitumie PM ili tuweze kuwasiliana.
njoo chanika mkuu hiyo pesa nyingi sana,hata kama kuna raia mwingine anahitaji huku chanika anipm mi nina maeneo ya kutosha karibuni tutumie fursa hii
chanika mbali watu wanafanya kazi posta mpaka chanika