Aika Mndumii
Senior Member
- Jan 19, 2013
- 164
- 47
a) Eneo la kibada (Kigamboni)
b) Ukubwa wa eneo isiwe chini ya mita za mraba 950
c) Kiwanja kiwe upande wa kushoto wa barabara kama unaelekea Kibada
d) Kikiwa maeneo ya full shangwe ni vizuri zaidi.
e) kisiwe umbali zaidi ya 15km kutoka fery.
f) Kiwe kimepimwa na kina hati safi (iliyolipiwa ada za ardhi). Kiwe kwenye viwanja vya mradi eneo la kibada
g) Umeme uwe jirani
h) Kama unacho na wewe ni dalali utakula % yako kwa muuza kiwanja na siyo kwangu.
i) Kutoka barabara ya kibada umbali usiwe zaidi ya 1km
j) Offer yangu ni 15m
k) Maji si lazima (najua hakuna maji ya DAWASCO) nitachimba kisima mwenyewe
L) Mimi mwenyewe ndiyo nahitaji
Kama unacho weka namba yako ya simu nikupigie.
Ombi: Usije na pendekezo la eneo lingine maana mimi nataka eneo la kibada na siyo vinginevyo.
Asante sana wakuu.
Mahitaji hayaendani na bei za eneo husika. Wamesha janjaruka siku hizi.... All the best.a) Eneo la kibada (Kigamboni)
b) Ukubwa wa eneo isiwe chini ya mita za mraba 950
c) Kiwanja kiwe upande wa kushoto wa barabara kama unaelekea Kibada
d) Kikiwa maeneo ya full shangwe ni vizuri zaidi.
e) kisiwe umbali zaidi ya 15km kutoka fery.
f) Kiwe kimepimwa na kina hati safi (iliyolipiwa ada za ardhi). Kiwe kwenye viwanja vya mradi eneo la kibada
g) Umeme uwe jirani
h) Kama unacho na wewe ni dalali utakula % yako kwa muuza kiwanja na siyo kwangu.
i) Kutoka barabara ya kibada umbali usiwe zaidi ya 1km
j) Offer yangu ni 15m
k) Maji si lazima (najua hakuna maji ya DAWASCO) nitachimba kisima mwenyewe
L) Mimi mwenyewe ndiyo nahitaji
Kama unacho weka namba yako ya simu nikupigie.
Ombi: Usije na pendekezo la eneo lingine maana mimi nataka eneo la kibada na siyo vinginevyo.
Asante sana wakuu.
Mkuu, mradi wa Kigamboni hautagusa viwanja vya mrad wa viwanja 20,000i. Pia kwa tahadhari kuna maeneo pale mitaa ya full shangwe huwa yanajaa maji mvua zikinyesha kwa hiyo uwe makini. Mpigie huyu jamaa alinisaidia nikapata kiwanja Cornerstone - Kibada 07155661308 Mr. Mkiwa
Nashukuru sana mkuu kwa kunipa tahadhari kuhusu eneo linalojaa maji. Nashukuru pia kwa ufafanuzi kuhusu viwanja vya mradi Vs mradi wa kigamboni.
a) Eneo la kibada (Kigamboni)
b) Ukubwa wa eneo isiwe chini ya mita za mraba 950
c) Kiwanja kiwe upande wa kushoto wa barabara kama unaelekea Kibada
d) Kikiwa maeneo ya full shangwe ni vizuri zaidi.
e) kisiwe umbali zaidi ya 15km kutoka fery.
f) Kiwe kimepimwa na kina hati safi (iliyolipiwa ada za ardhi). Kiwe kwenye viwanja vya mradi eneo la kibada
g) Umeme uwe jirani
h) Kama unacho na wewe ni dalali utakula % yako kwa muuza kiwanja na siyo kwangu.
i) Kutoka barabara ya kibada umbali usiwe zaidi ya 1km
j) Offer yangu ni 15m
k) Maji si lazima (najua hakuna maji ya DAWASCO) nitachimba kisima mwenyewe
L) Mimi mwenyewe ndiyo nahitaji
Kama unacho weka namba yako ya simu nikupigie.
Ombi: Usije na pendekezo la eneo lingine maana mimi nataka eneo la kibada na siyo vinginevyo.
Asante sana wakuu.
Mkuu,
kitakachokukwamisha hapo ni hiyo size ya kiwanja, otherwise ungepeta mara moja.
By the way, kwanini umependelea upande wa kushoto wa barabara? just for curiosity...
Mkuu nashukuru. Nimependelea upande wa kulia kwa sababu katika pitapita yangu huko ule upande wa kushoto landscaping yake siyo nzuri sana (mtelemko na miinuko) hivyo inaweza kunipa gharama wakati wa kujenga ukizingatia uwezo wangu. Pili upande wa kulia hasa maeneo ya full shangwe mpaka kibada mwisho kutuoni watu wengi wamejenga na kuhamia hivyo itakuwa rahisi mimi pia kuanza ujenzi na kuhamia kwa wakati. Ni hilo tuu kiongozi ila ushauri pia utazingatiwa.
Asante sana.
Sawa, lakini mkuu katika tangazo lako umesema unataka kiwe upande wa kushoto. Katika jibu lako naona kama unapenda upande wa kulia. Kama vipi fanya marekebisho kwenye post...
Ni kweli upande wa kulia ndio ulioachangamka zaidi kwa sasa.