Natafuta kiwanja /shamba kigamboni au bagamoyo

Natafuta kiwanja /shamba kigamboni au bagamoyo

karibu bagamoyo mji wa kitarii na wa kistaarabu.. mji ubaokua kwa kasi viwanja vipi vya kila aina na bei unayoitaka.
 
Kingikongu niuzie kile kiwanja chako cha kibada
Mwenyewe kaghairi kuuza alinikabidhi kama dalali tu,vimebaki vya Kiupunguni na Buyuni,nicheck kwa namba 0654 400 400 kama unahitaji hivyo.
 
Habari yako mkuu, nina shmba bagamoyo ambalo lipo umbali wa mita 70 kutoka mto wa RUVU chini na watu pale mimi nikiwa mmoja wao tunafanya kilimo vipindi vyote iwe kiangaza au masika. Namiliki ekari 12 ila hekari 5 tu ndio nauza. Bei ni TZS 1.7 kwa hekari moja. Simu yangu ni 0655003510
Mbona simu haipatikani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom